Picha: Jay Z na mwanae Blue Ivy walivyojiachia kwenye Grammy

Ni baba na mwana na wanafanana haswaa. Jay Z na mwanae Blue Ivy walikuwa miongoni mwa watu waliokuwa kwenye siti za mbele kwenye tuzo za Grammy zilizofanyika Jumapili nchini Marekani. Blue alionekana mwenye furaha kubwa na alimshangilia mama yake, Beyonce kwa nguvu zote wakati akitumbuiza. Hizi ni baadhi ya picha zao.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW