Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Picha: Kevin Hart na mkewe Eniko Parrish waonyesha sura ya mtoto wao kwa mara ya kwanza

Mchekeshaji maarufu Kevin Hart na mkewe Eniko Parrish wameionyesha sura ya mtoto wao kwa mara ya kwanza.


Kevin Hart akiwa amembeba mtoto wao wa kwanza Kenzo Kash

Hart ameweka picha ya mtoto huyo kupitia mtandao wa Instagam na kuandika, “You are a little miracle Our beautiful baby boy. We pray you’ll feel so safe and loved Surrounded by our joy. For we are blessed to hold you close And feel your beating heart.”


Picha ya mtoto wa kwanza wa Kevin Hart na mkewe Eniko Parrish, Kenzo Kash

“The little life we hoped for How wonderful you are. We raise our hearts with praise and thanks For you our little gift. May God’s peace surround you As you wake and as you sleep. #Harts And may you grow to live and love And play your little part. In this world may your light shine And never be put out #Harts,” ameongeza.

Wawili hao walipata mtoto wao huyo wa kwanza Jumanne ya wiki iliyopita na wamempatia jina la Kenzo Kash. Hata hivyo mtoto huyo ni wa tatu kwa Kevin Hart.

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW