Michezo

Picha: Klabu ya Simba SC ya zindua duka la kuuza vifaa vya michezo

Klabu ya Simba SC ya Jijini Dar es Salaam, wamezindua rasmi duka ambalo litakuwa linauza vitu mbalimabali vyenye nembo ya klabu hiyo kwa lengo la kutengeneza pesa.

IMG_2170
Rais wa klabu ya Simba (katikati) akikata utepe kuzindua duka la kuuza vifaa vya Simba ambalo lipo Dar Free Market Mall Ground Floor

DSC_0350

Rais wa Simba Bw. Evans Aveva amezindua rasmi duka la Simba ambalo lipo katika jengo la Dar FRee Market, eneo la Oysterbay, litakuwa likiuza vifaa vya michezo, jezi, kofia, T-shirts pamoja na vitu vingine vingi vyenye chapa ya Simba kwa ajili ya kujiingia kipato kutokana na chapa ya timu yao.

IMG_2260

DSC_0352

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents