Michezo
Picha: Lamborghini Veneno Roadster ndio gari lenye thamani kubwa zaidi duniani, inauzwa $4.5M bila kodi
Lamborghini Veneno Roadster ndio gari yenye thamani kubwa zaidi duniani kwa sasa. Zitauzwa tisa peke yake. Utengenezaji wa gari hizo utaanza rasmi mwakani.