Habari

Picha: Lupita Nyong’o akava jarida la Vogue kwa mara ya pili, asimulia mapokezi aliyoyapata aliporejea Kenya

Muigizaji wa filamu wa Kenya, Lupita Nyong’o amekava kwa mara ya pili jarida la Vogue la mwezi October.

2C6E385A00000578-3238858-image-a-56_1442512211716

Kwenye issue hiyo pamoja na mambo mengine, Lupita amezungumzia mapokezi aliyotapata kipindi amerudi Kenya.

2C6E383500000578-0-image-a-53_1442512124555

“Yalikuwa ya kushanganza” alisema.

“Afrika kuna uzalendo unaokuja na mambo kama kushinda Oscar. Ni kama utamaduni kupokelewa na kushangiliwa. Nyimbo za kusifia ambazo ni za heshima kubwa Kenya zilikuwa zikiimbwa kwaajili yangu, na zilikuwa na mistari kutoka kwenye hotuba yangu Oscar, ‘Your dreams are valid.’

lupita-nyongo-vogue-cover-october-2015-05

Amekumbushia pia kichwa cha habari kwenye gazeti moja la Kenya kilichosema: Tears Roll Down Hollywood Cheeks.

“Nilitaka kwenda Kenya na kitu cha kusema,” anaendelea.

“Nilikuzwa na tabia kubwa ya kutoa msaada. Nilipokuwa mdogo nilijitolea kufanya kazi na kituo cha kulelea watoto yatima. Nilifanya mambo mengi ya kushughulikia masuala ya kanisa.”

lupita-nyongo-vogue-cover-october-2015-02 (1)

Kwenye mahojiano hayo pia Lupita alizungumzia pia vikwazo alivyovipitia ikiwa pamoja na kukataliwa kwenye usaili wa kuigiza kwa kuambia kuwa ngozi yake ni nyeusi mno.

lupita-nyongo-vogue-cover-october-2015-08

Alizungumzia pia kulionea aibu kabila lake la Ujaluo alipokuwa mdogo.

“So there was a certain amount of shame attached to my mother tongue. I developed this discomfort in all things that identified me as ethnically Luo when I was a teenager.”

lupita-nyongo-vogue-cover-october-2015-09

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents