Burudani

Meda aja na zawadi ya wimbo ‘Princess Tiffah’ kwaajili ya mtoto wa Diamond

Msanii kutoka Iringa, Meda ambaye wimbo wake ‘Barua kwa Diamond’ ulipata mapokezi mazuri amerejea tena na wimbo mwingine maalum kwa mtoto wa staa huyo, Tiffah.

Meda

Meda ameiambia Bongo5:

Nimekuja na zawadi nyingine kwa mtoto wa Brother Diamond Platnumz na zawadi yenyewe ni wimbo ambao unaitwa ‘Princess Tiffah’ ambao nategemea kuutoa siku ambayo Tiffah ataonekana kwa mara ya kwanza. Itakuwa tarehe 20 September. Maana ya kutoa hii ngoma ni love nilinayo kwa Bro Diamond hata wimbo pia nilimtumia pia kwahiyo mashabiki wakae tayari kusikia zawadi hii ambayo nimemuandalia Princess Tiffah. Na huu ni pia ni ubunifu kama msanii kwa msanii ambaye anamkubali.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents