Habari

Picha: Maandalizi ya ndoa ya Prince Harry na Meghan Markle

Tukio ambalo linasubiriwa kwa hamu kubwa duniani kote ni kushuhudia ndoa ya Prince Harry na Meghan Markle inayotarajiwa kufanyika Jumamosi hii ya Mei 19.

Asilimia kubwa ya maandalizi ya sherehe hiyo yameshakamilika huku kikubwa kinachosubiriwa ni kulishuhudia tukio hilo ambalo linatarajiwa kuhudhuriwa na wageni kibao kutoka mataifa mbali mbali duniani. Tazama picha za maandqalizi ya sherehe hiyo yanavyokwenda huko Uingereza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents