Shinda na SIM Account

Picha: Mafuriko yasababisha vifo vya watu 14 Ugiriki

Watu 14 wamefariki dunia na wengine wamejeruhiwa katika mafurika ya mvua ambayo yametokea nchini Ugiriki.

Mafuriko hayo yametajwa kutokea katika eneo ambalo lipo karibu na mji mkuu wan chi hiyo, Athens.
Vikosi vya uokoaji vya nchi hiyo vimedai kuwa wanatarajia kuokoa miili mingine zaidi ya watu ambao wamefariki katika mafuriko hayo.

Tukio hilo limetajwa kuwa kubwa zaidi kutokea nchini humo katika kipindi cha zaidi ya miaka 20 iliyopita.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW