Burudani ya Michezo Live

Picha: Makamu wa Rais akutana na IGP Sirro

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro ofisini kwake, Ikulu Jijini Dar es Salaam.


Picha zote na Ofisi ya Makamu wa Rais.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW