Burudani

Picha: Mshindi wa Miss World University Africa 2017 akutana na Waziri Mwakyembe

Mshindi wa Miss World University Afrika 2017, Mtanzania Queen Elizabeth Makune, jana April 27 alifika Bungeni Jijini Dodoma na kufanya mazungumzo na viongozi mbali mbali wa serikali wanaosimamia sanaa akiwemo Waziri Harrison Mwakyembe na Naibu wake Juliana Shonza.

Mshindi huyo ambaye alishinda taji hili katika mshindano yaliyofanyika nchini Korea Kusini na warembo kutoka mataifa 53 walishiriki, alihudhuria Dodoma ikiwa ni siku ya kusomwa kwa bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents