Michezo

Picha: Muonekano wa Uwanja mpya wa Santiago Bernabeu ifikapo 2020

Picha za uwanja wa Santiago Bernabeu kuja na muonekano mpya ifikapo mwaka 2020 klabu ya Real Madrid, imeamua kufanya Marekebisho ya uwanja wao ambao utagharimu Pauni Milioni 360 hadi kukamilika, marekebisho hayo yataufanya uwanja huo kuwa katika mwonekano wa kibiashara.

394dfc2300000578-0-image-a-3_1476192646827-696x464
Rais wa Real Madrid Florentino Perez alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu marekebisho ya Uwanja huo

394de41100000578-0-image-a-2_1476192643518

Uwanja huo pamoja nakufanyiwa marekebisho hayo, bado utaendelea kuwa na uwezo wa kuingiza watu 80,000 na ofisi za klabu hiyo ambazo zipo katika uwanja huo zitahamishwa ili kupisha upanuzi wa sehemu ya makumbusho ya klabu.

394fa39500000578-0-image-m-3_1476206755659

394e949500000578-3832636-image-a-21_1476195102381

394de40700000578-0-image-a-1_1476192638791

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents