Burudani ya Michezo Live

Picha: Ni mahaba mazito kati ya Shilole na mpenzi wake mpya

Shilole akipenda, mashabiki wake hawafichi kitu. Mahaba aliyokuwa akipewa Nuh Mziwanda, sasa yamehamishiwa kwa kijana mwingine, anayefaidi utunzwaji uliotukuka kutoka kwa muimbaji na mjasiriamali huyo.

Shishi na mpenzi wake huyo hawaachani, wanaambatana kama kumbikumbi, kwenye jet hadi kwenye meli wakifaidi upepo wa bahari ya Hindi. Wawili hao walisherehekea sikukuu ya Christmas pamoja na Shishi hakwisha kumdekea mpenzi wake.

Tazama picha zao chini:

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW