Burudani

Picha: Nicki Minaj amtumia Blac Chyna kwenye video yake mpya

Rapper Nicki Minaj ameingia location mrembo Blac Chyna kwa ajili ya kutengeneza video yake mpya ya wimbo uitwao ‘Rake It Up’.

Katika video ya wimbo huo ambao amewashirikisha wasanii wengine Yo Gotti na Mike WiLL Made-It, yametumika magari ya kifajhari zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents