Burudani

Picha: Penzi la Kylie Jenner na Travis Scott lafichuka

Siri ya penzi la Kylie Jenner na rapper Travis Scott yafichuka.

Baada ya wawili hao kudaiwa kuwa na mahusiano ya siri huku wakionekana kula bata pamoja sehemu mbalimbali ikiwemo katika tamasha la Coachella Music Festival mwezi April mwaka huu – Ukweli umeanza kufahamika baada ya kusambaa kwa picha zao zinazoonyesha dhahiri kuwa wawili hao ni wapenzi kwa sasa.

Hizi ni baadhi ya picha ambazo zinaonyesha Kylie na Scott ni wapenzi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents