Habari

Picha: Prince William na Kate Middleton wamuonyesha hadharani mtoto wao wa tatu

Prince William na mkewe Kate Middleton wamemuweka hadharani mtoto wao wa kiume wa tatu ambaye ni wakiume.amezaliwa Jumatatu hii.

Mtoto huyo amewekwa hadharani baada ya kuzaliwa Jumatatu hii katika Hospitali ya St. Mary’s. Mtoto huyo anaungana na ndugu zake wengine akiwemo Prince George (4) na Princess Charlotte (3).

Tazama hapa chini picha zaidi za Prince William na mkewe Kate Middleton wakimuonyesha mtoto wao huyo wa tatu.

Nonkanyiso Conco

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents