HabariUncategorized

Picha: Rais Magufuli alivyofunga kilele cha mbio za Mwenge Zanzibar

Jumamosi ya leo Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli alikuwa mgeni rasmi katika sherehe za kilele cha mbio za Mwenge kitaifa ambapo pia aliungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Ali Mohamed Shein.

Sherehe hizo zilihudhuriwa na viongozi wengine akiwemo makamu wa Rais Mama Samia Suluhu, waziri mkuu Kassim Majaliwa, Mawaziri na Manaibu Waziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, pamoja na viongozi wengine kutoka nje ya nchi.

Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents