Burudani

Picha: Si Will Smith tu aliyekuja Serengeti, ni pamoja na supermodel Chanel Iman

Tanzania ina ugeni mzito wiki hii.

Supermodel Chanel Iman akiwa na muigizaji nguli wa filamu, Will Smith

Muigizaji mashuhuri wa filamu, Will Smith amekuja nchini kwaajili ya mapumziko. Staa huyo wa Suicide Squad, yupo kwenye mbuga ya wanyama ya Serengeti akifurahi uumbaji wa Mungu.

Mastaa wa Marekani, Will Smith na Chanel Iman wakiwa na wenzao kwenye mbuga ya wanyama ya Serengeti

Hata hivyo imebainika kuwa Smith si staa pekee wa Marekani aliyepo Tanzania. Supermodel wa Marekani, Chanel Iman naye amejumuika.

Mrembo Chanel Iman akimshangaa tembo mbugani Serengeti

Mrembo huyo amekuja na boyfriend wake.

Kwenye Instagram, amepost picha akiwa na Will Smith mbugani Serengeti na kuandika: Great places with great friends and Will is One of the coolest.”

Kuna uwezekano kuwa wote wamekuja kwenye msafara mmoja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents