Habari
Picha: Tamasha la Nyama Choma – Viwanja vya posta Kijitonyama Dar
Lile tamasha kubwa la Nyama Choma, jana lilifanyika kwa mara nyingine kwenye viwanja vya posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa. Hizi ni baadhi ya picha za jana.