Michezo

Picha/Video: Dimitri Payet amvunja golikipa uwanjani

Vimbwanga vyazidi kuendelea katika ligi kuu ya Ufaransa maarufu kama Ligue 1. Katika usiku wa jana Olympique Marseille walikuwa katika uwanja wao wa nyumbani na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Strasbourg.

Kubwa zaidi lililoteka vichwa vya habari vya mchezo huo ni Dimitri Payet aliposababisha golikipa wa Strasbourg, Alexandre Oukidja kutoka nje katika dakika ya 89 kwa kumpiga chenga nzito.

Baada ya golikipa huyo kutoka nje nafasi yake ilichukuliwa na Landry Bonnefoi. Tazama video ya tukio hilo hapa chini.

https://youtu.be/sz7oGdA4HVI

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents