Burudani
Picha/video: Eminem na Dr. Dre wakutana tena studio
Rapper Eminem amerudi tena studio kufanya kazi na Dr. Dre na producer Mike WiLL Made-It.
July mwaka jana, 2017 walionekana tena studio na taarifa zinaeleza wapo katika kuandaa albamu mpya ya Eminem, producer Mike WiLL Made-It na Eminem wame-share picha/video kadhaa mtandaoni kuonyesha kile walichokifanya usiku wa kuamkia leo.
Rapa Eminem amekuwa akifanya kazi nyingi na prodyuza huyo (Dr. Dre) mkongwe ambaye amechangia asilimia kubwa kumfanya ambaye anaunda kundi la N.W.A (Nigga With Altitude).
https://www.instagram.com/p/BeRmg1Gnj6o/?taken-by=mikewillmadeit