DStv Inogilee!

Picha: Wabunge wamzalisha mama mjamzito baada ya kukosa msaada

Wabunge watatu wa Kamati ya Afya nchini Uganda wamemsaidia mama mjamzito kujifungua katika kituo kimoja cha afya baada ya kumkuta akiwa hana msaada wowote.

Kwa mujibu wa chombo cha habari cha Azam tv, wabunge hao wamefanya kitendo hicho cha kumzalisha mama huyo mjamzito baada ya kuona akikosa msaada.

Hata hivyo imekuwa kama bahati kwa mama huyo kuweza kupata msaada kwakuwa wabunge hao waliokuwa ziarani walifika katika kituo hicho na ndipo kumkuta akisumbuliwa na uchungu wa kujifungua, huku kukiwa hakuna daktari wala muuguzi hata mmoja.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW