Burudani

Picha: Wanamitindo waonesha mavazi katika Sanaa Fashion Show

Jumamosi, lilifanyika onesho la mitindo la Sanaa Fashion Show kwenye viwanja vya kijiji cha Makumbusho, Kijitonyama jijini Dar es Salaam.

Onesho hilo lililoandaliwa na mdau wa mitindo nchini, Shaksy liliambatana pamoja na utoaji tuzo kwa watu waliotoa mchango wao mkubwa kwa mwaka huu kwenye tasnia ya mitindo nchini na lilihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo madisgner kibao akiwemo Asia Idarous, Martin Kadinda, Kulwa Mkwandule, Walter Dimaria, Agness, Alex na wengine wengi.

Tazama picha zaidi hapa chini.


Asia Idarous akimkabidhi G Tyga tuzo ya mwanamitindo bora 2016


Asia Idarous akimkabidhi Martin Kadinda tuzo ya Most Outstanding Male Designer 2016

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents