Tupo Nawe

Picha: WCB walivyozikonga nyoyo za wapenzi wa muziki Iringa

Baada ya December 24 kuangusha show kwenye fukwe za Jangwani Sea Breeze, jijini Dar es Salaam, timu nzima ya WCB ilielekea Iringa kushererehea sikukuu ya Christmas kwa show kubwa kwenye viwanja vya Samora.

Wakiongozwa na bosi wao, Diamond Platnumz, wasanii wengine wa WCB walioangusha show ni pamoja na Rich Mavoko, Raymond, Harmonize na Queen Darleen. Picha zinaonesha jamaa walivutia nyomi ya kutosha. Jione picha hapo chini.

Picha: Wasafi Instagram

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW