Habari

Picha za sherehe ya kuzaliwa kwa Malkia wa Uingereza, Elizabeth

Malkia wa Uingereza, Elizabeth jana April 21 alitimiza miaka 90 tangu alipozaliwa mwaka 1926.

QUEEN-main_2814877a

Malkia Elizabeth ndiye ameweka rekodi ya kuiongoza miaka mingi nchi hiyo tangu mwaka 1954.

Tangu wiki iliyopita watu wengi kwenye mitaa ya nchi hiyo walikuwa wakifanya maandalizi ya kusherehekea siku hiyo muhimu kwa Malkia Elizabeth hasa kwenye mji wa Birmingham ambapo ndipo ilipo ikulu ya malkia.

Hizi ni baadhi ya picha kwenye sherehe hizo:

SWNS_QUEEN_WINDSOR_2813788a
Malkia Elizabeth akipokea zawadi ya ua

car_2814823a
Malkia na mumewe, Prince Philip wakiwapungia mikoni watu waliohudhuria sherehe hiyo

EPA_Britain-Royalt_2813801a
Malkia Elizabeth akiwa na wajuu zake

Queen_03_2813567a

Queen_06_2813586a
Malkia akiwa kwenye gari na mume wake Prince Philip

Queen_07_2813587a

Queen_08_2813588a

ROYAL-Birthday-083_2813803a

GETTY_The-Queen-_2_2813787a

NEW_AFP_9T21Mjpg-J_2813792a
Malkia Elizabeth akiwa na mwanae Prince Charles, wajukuu zake Prince William na Prince George

NEW_AFP_9U46Xjpg-J_2813802a

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents