Michezo

Picha: Lewis Hamilton aonesha gari lake la kifahari kusherehekea ushindi wa Monza Italia Grand Prix

Bingwa wa mbio za magari za Formula One, Lewis Hamilton alishinda ubingwa wake wa saba Jumapili kwenye mashindano ya Monza Italia Grand Prix.

2C0B6F6D00000578-0-image-a-13_1441625822849

Baada ya ushindi huo, Hamilton ameonekana kujipongeza akiwa na gari lake jipya la kifahari, kitu kinachotafsiriwa kama sehemu ya kusherehekea ubingwa wake huo.

2C0BCEF400000578-3225149-image-a-25_1441628332202

Hamilton ameonekana katika picha akiwa na gari la kifahari la Mercedes G63 AMG ambalo thamani yake inatajwa kufikia pound 370,000 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 1 za Kitanzania.

2C0BCED600000578-3225149-image-a-22_1441628112186

2C0BCEE700000578-3225149-image-a-24_1441628300545

2C0BCF4A00000578-3225149-image-a-21_1441628021619

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents