Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Poleee: Madonna ala mweleka mbaya wakati akitumbuza kwenye Brit Awards (Picha)

Madonna alirejea jana kwenye Brit Awards kwa mara ya kwanza tangia miaka 20 iliyopita lakini mambo yalitaka kumharibikia.

261B3F9000000578-2969176-image-a-58_1424946451305

Mwanzoni mwa performance yake, Madonna alianguka kwenye ngazi jukwaani hapo baada ya kofia ndefu aliyokua ameivaa kuvutwa na dancer wake. Kofia hiyo ilipaswa kuondolewa kirahisi lakini dancer huyo alimvuta pia Madonna.

Kitendo hicho kilimfanya hadi aiangushe microphone na kushindwa kuimba baadhi ya mashairi. Baada ya kuinuka na kuchukua mic sauti yake ilisikika ikiwa tofauti kidogo. Baadaye Madonna alitumia Instagram kuandika: Thanks for your good wishes! I’m fine!.”

Picha zaidi hapo chini.

261A7FB400000578-2969176-image-a-59_1424946483992

2618B97700000578-2969176-Unlucky_star_She_starts_off_with_composure_and_then_gets_pulled_-a-67_1424909207454

2618C88C00000578-2969176-Easy_does_it_Things_started_smoothly_as_the_star_ascended_the_st-a-13_1424904880162

2618CCA700000578-2969176-image-a-8_1424906030073

2618DDF800000578-2969176-image-m-6_1424905594866

2618DDFC00000578-2969176-Gone_And_she_was_on_her_way_to_the_floor-m-10_1424911630690

2618DE1000000578-2969176-image-m-4_1424905578893

26194B7D00000578-2969176-image-a-66_1424909065351

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW