Habari

Pom Pom Pishaa – Exclusive

Chidi Beenz
Chidi Beenz aka Big Boss aka King Kong ameangusha ngoma yake mpya "Pom Pom Pishaa" na unaweza kuisikiliza hapa hapa bongo5.

Ngoma hiyo inabeba ujumbe mzito juu ya wale wote wanaomsema vibaya na kazi hiyo ameifanyia kwa the young producer in town, Lamar.

‘Watu wananisema vibaya mwisho wa siku Tanzania Inanitunuku tuzo mimi…." hayo ni baadhi ya maneno ya kwenyee wimbo huo wa Chidi.

Benz ametoa taarifa kwa mashabiki wake kuwa anakaribia kuachia
nyimbo zake 3 mpya ikiwa kama zawadi kwa mashabiki na watu wote wa
vyombo vya habari ambao amesema wamekuwa wakimuunga mkono kwa karibu.

"Wimbo wa kwanza ni Pom Pom Pishaa, zingine zinazofuata tegeni sikio kwasababu nitakuwa naachia
moja baada ya nyingine" Chidi Beenz.

Bofya Hapa kusikiliza ngoma hiyo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents