Habari

Prince Harry na Meghan Markle watangaza ziara yao ya kwanza ya kifalme

Prince Harry na mkewe Meghan Markle (Duke and Duchess of Sussex), wametangaza ziara yao ya kwanza ya kifalme katika nchi nne duniani.

Kutokana na taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Kensington, imetaja nchi hizo ni pamoja na Australia, Fiji, Tonga na New Zealand. Hiyo ni ziara ya kwanza kwa wawili hao tangu watoke (Honey Moon) fungate nchini Canada hivi karibuni.

The Duke and Duchess of Sussex will undertake an official visit to Australia, Fiji, the Kingdom of Tonga, and New Zealand in the Autumn. Their Royal Highnesses have been invited to visit the Realms of Australia and New Zealand by the countries’ respective governments. The Duke and Duchess will visit the Commonwealth countries of Fiji and Tonga at the request of the Foreign and Commonwealth Office

Prince Harry na Meghan Markle wantarajiwa kunza ziara hiyo Oktoba mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents