Punda afe, lakini….
Najua kila chomo kiwe cha majini au nchi kavu lazima kiwe na kiwango maalum, ili kuzuia maafa ama kuharibika kwa huo usafili, lakini kwa hili mimi sijui mwisho wake ila wapi katika kupakia mizigo.
Au ndiyo ule usemi wetu, punda afe lakizi mzigo wa bwana ufike, huku tukisahau kama punda akifa huo mzigo ataufikisha nani? Au ndiyo kimfaacho mtu ni chake,.