Burudani

Pusha-T amchana Drake kwenye ngoma yake mpya, isikilize hapa

Bifu jipya limeibuka kwenye muziki wa Hip Hop – Safari hii ni kati ya Pusha-T na Drake.

Wawili hao wamezidi kuonekana kuwa hawawezi kupikika kwenye chungu kimoja baada ya Pusha kumchana Drake kwa mashairi makali kupitia kwenye ngoma yake mpya ‘The Story of Adidon’.

Tena mbaya zaidi kenye cover ya wimbo huo ameweka picha ya mtu anayefanana na Drake huku akiwa amepakwa rangi nyeusi usoni.

“Since you name dropped my fiancée, let ’em know who you chose as your Beyoncé / Sophie Knows Better, ask your baby mother / Cleaned her up for IG, but the stench is on her,” amerap Pusha-T kwenye ngoma hiyo.

Rapper huyo ameendelea kumchana mwenzake kwenye wimbo huo kwa kusema, “A baby’s involved, it’s deeper than rap / We talkin’ character, let me keep with the facts / You are hiding a child, let that boy come home / Deadbeat motherfucker playing border patrol / Adonis is your son and he deserves more than an adidas press run / Love that baby, respect that girl / Forget she’s a porn star, let her be your world.”

https://youtu.be/yQ9OYNIptsc

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents