Tupo Nawe

Quick Rocka arudi vizuri kwenye muziki na ‘Bembeleza’ baada ya kuonyesha uwezo mkubwa kwenye filamu(Video)

Msanii wa muziki na filamu, Quick Rocka ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Bembeleza’ akiwa na rapa Joh Makini ikiwa ni video yake ya kwanza mwaka huu toka aachie Falling ambayo aliichia September mwaka 2018.

Katika kipindi hicho chote muimbaji huyo alikuwa busy na filamu ambapo mwaka 2019 aliweza kufanya vizuri na tamthilia ya Kapuni ambayo imefanya vizuri kupitia DSTV.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW