Habari
Rais Magufuli afanya uteuzi COSTECH
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli amemteua Prof. Makenya Abraham Maboko kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania(COSTECH).
Soma taarifa kamili;