Habari

Rais Magufuli afanya uteuzi wa viongozi wapya akiwemo Jaji Warioba

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amefanya uteuzi mpya kwenye nafasi kadhaa za serikali ikiwemo nafasi ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera iliyokwenda kwa Diwan Athuman aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).

magu1-1

Wakati huo huo Rais Magufuli amemteuwa Jaji Joseph Warioba kuwa Mkuu wa Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA).

Pia amewateuwa wenyeviti wa Bodi kwenye taasisi tano za serikali akiwemo Jones Kilimbe, Prof. Patrick Makungu, na wengine. Soma taarifa kutoka Ikulu hapa chini.

ikulu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents