Habari

Rais Magufuli ampa shavu hili Mizengo Pinda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amemteua Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT).

dr

Rais Magufuli amefanya uteuzi huo wa Mizengo Pinda kuchukua nafasi hiyo baada ya aliyekuwa mkuu wa chuo hiko, Dkt. Asha-Rose Migiro kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza.

Taarifa iliyotolewa leo Mei 25, 2016 na katibu mkuu kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi huo wa Mheshimiwa Pinda umeanza mara moja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents