Burudani

Rapper AKA aachika kava 10 za albamu yake mpya, ipi kali zaidi?

Rapper wa Afrika Kusini, AKA ameachia kava 10 kama sample kwa ajili ya album yake ‘Touch My Blood’ ambayo inatarajiwa kutoka Mei mwaka huu.

Albamu hiyo inatajwa kuwa inaweza kuwa ya mwisho kwa msanii huyo. Je unategemea ni kava ipi kati ya hizi zote ambayo itatumika kwenye albamu hiyo?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents