Videos
Alikiba aachia video yake mpya ‘So hot’ (+ Video
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Alikiba ameiachia video ya Sohot baada ya kutanguliza Audio yake mapema alifajiri.
Audio ya wimbo huo imefanywa na kimambo huku video ikifanywa na Rock studio.