Rasmi: Kylie Jenner na Travis Scott ni baba na mama

Kylie Jenner na Travis Scott kwa sasa wanaweza wakawa wameongeza jina jipya ambalo ni baba na mama.

Baada ya kuficha kwa muda mrefu hatimaye imefahamika kuwa wawili hao wamefanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza ambaye ni wakike, Alhamisi ya wiki iliyopita.

Hilo amethibitisha mrembo Kylie kupitia barua ambayo ameiweka kwenye mtandao wa Twitter.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW