Michezo

Ratiba ya Europa League raundi ya 16 bora imetoka Man United kukutana na Liverpool

Michuano ya Europa League raundi ya 16 bora Draw imefanyika leo Feb 26 miamba ya ligi ya England Liverpool na Manchester United watakutana kwenye mchezo wa hatua hiyo.

article-3465517-31955FC600000578-74_964x386

Tottenham wao watapambana na vigogo vya Bundesliga Borussia Dortmund.

Michezo hiyo itapigwa Alhamisi, 10 na 17 March mwaka huu. Bingwa wa michuano hiyo atafuzu kucheza michuano ya Champions League msimu ujao

Hii ndiyo ratiba ya Europa League raundi ya 16 bora

Shakhtar Donetsk v Anderlecht

Basel v Sevilla

Villarreal v Bayer Leverkusen

Athletic Bilbao v Valencia

Liverpool v Manchester United

Sparta Prague v Lazio

Borussia Dortmund v Tottenham

Fenerbahce v Braga

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents