Michezo
Ratiba ya hatua ya 16 bora ya ligi ya mabingwa Ulaya yatoka
Ratiba ya hatua ya 16 bora ya ligi ya mabingwa barani ulaya imepangwa hii leo nchini Uswisi yalipo makao makuu ya shirikisho la soka barani Ulaya baada ya hatua ya makundi kumalizika wiki iliyopita. Hivi ndivyo ilivyo.
Arsenal vs Bayern Munich
Ac Milan vs Atletico Madrid
Galatsaray vs Chelsea
Manchester City vs Fc Barcelona
Bayer Leverkusen vs Paris St Germain
Schalke 04 vs Real Madrid
Olympiakos vs Manchester United.
Zenith St Petersburg vs Borrusia Dortmund