Michezo

Ratiba ya ligi kuu Uingereza yatoka Chelsea kuikaribisha Burnley (Ratiba)

Ratiba ya ligi kuu ya Uingereza  2017-18 imetoka rasmi huku mabingwa watetezi klabu ya Chelsea ikiikaribisha Burnley katika mchezo wa ufunguzi utakao chezwa August 12-13.

Mabingwa watetezi wa ligi kuu Uingereza  Chelsea

Newcastle ikiwakaribisha Tottenham, wakati Brighton ikiwa mwenyeji dhidi ya Manchester City na huku Huddersfield ikiwatembelea Crystal Palace.

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents