Burudani

Rihanna aopoa mwanamasubwi

Rihanna-and-new-ma_1387932a

Mwanamuziki Rihanna ameonekana juzi jijini Londan kwenye Club ya Mahiki, akiwa na mwanamasubwi wa huko wakila bata. Mwanamasubwi huyo Dudley O’Shaughnessy anayesadikiwa kwamba ndiye kwa  sasa anayetoka na Rihana, baada ya kukutwa

akigonga naye mitungi, na kucheza naye akiwa hana shaka wala hofu. Inasemekana Rihanna miongoni mwa kitu alichovutiwa kwa manamasubwi huyo ni kifua cha kijana huyo, ambacho kimejijenga kimazoezi.

Rihana_Dudley-O_Shaughnes

Dudley O’Shaughnessy

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents