Burudani

Rihanna awakimbiza Beyoncé, Adele, Mariah Carey na wakali wengine 16

Msanii wa muziki kutoka nchini Marekani, Rihanna ameongoza katika orodha ya wasanii wa kike waosikiliza zaidi mtandaoni ‘Most-Streamed Women’ kupitia Apple Music.

Hapo jana March, 9 katika kuhadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake duniani Apple Music imewatangaza wasanii wa kike 20 wanaoongoza kusikilizwa. Wasanii hao ni kama ifuatavyo;

1. Rihanna
2. Taylor Swift
3. Beyoncé
4. Ariana Grande
5. Adele
6. Sia
7. Lana Del Rey
8. Selena Gomez
9. SZA
10. Lady Gaga
11. Katy Perry
12. Nicki Minaj
13. Halsey
14. Demi Lovato
15. Fifth Harmony
16. Pink
17. Kehlani
18. Mariah Carey
19. Little Mix
20. Miley Cyrus

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents