BurudaniMitindo

Rose Msuya Miss Dar Inter College

Dar_Enter_Colege_face

Jana tamasha la Miss Dar Inter College limefikia mwisho baada ya kuibuka mshindi,  Rose Msuya kutoka chuo cha Usimamizi wa Fedha ‘IFM’  na kufuatiwa na  Blessing Ngowi  na kuwa na nafasi nzuri ya kuingia kwenye kinyanyiro kingine cha kuwania Miss Tanzania.

Dar_Enter_Colege_aliyepita

 

Rose Msuya akivishwa taji la mwaka 2011 kwenda 2012na mshindi aliyepita

Dar_Inter_College_Majaji

Majaji wakiangalia pambano la warembo.

Dar_Enter_Colege_5

Warembo walioingia katika kinyanyiro cha tano bora alikuwa ni Blessing Ngowi (16) mshindi wa pili , Glory Peter (13) mshindi wa tatu, Rose Msuya (14)  mshindi wa kwanza, Winfrida Raymond (1) mshindi wa tano na Eliza Aloyce (11) mshindi wa nne

 Dar_Enter_College_lumba

Warembo wakicheza wimbo wa Bongo Fleva kutoka kwa Dully Sykes

Dar_Inter_College_13

Dar_Enter_College_2

Katika tamasha hilo, mwanamuziki wa kizazi kipya Dully Sykes,  alikuwa akiburudisha mashabiki wake.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents