DStv Inogilee!

Royazdad afunga mwaka 2018 kwa kishindo na video ya wimbo, ‘Wote’ (Video)

Msanii wa muziki, Royazdad kwa style ya pekee amefunga mwaka 2018 kwa kuachia video ya wimbo wake mpya utwao ‘Wote’. Video ya muimbaji huyo ambaye anafanya kazi chini ya label ya Mbilinyi Worldwide Music imeandaliwa na director Hanscana.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW