Habari

Saigon atoa Somo

Image
Mwanamuziki na mdau mkubwa wa mzuki wa hip hop, Saigon, ameachia ngoma
ya kufungua mwaka inayokwenda kwa jina la ‘Soma’ iliyotengenezwa kwenye
studio za Tongwe Records na prodyuza J Ryder. Kwa mujibu wa Saigon,
ametoa ngoma hiyo kuwahamasisha watanzania, hasa vijana kujijengea
utaratibu wa kusoma ili kuondokana na ujinga. Huo ni mwanzo tu kwa Saigon kwani kwa sasa yuko kwenye harakati ya kutoa albamu yake atakayoifanya kwenye studio tofauti

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents