Burudani

Scanner aja na Thamani ya Pendo

saji_sacan2

 

Mwanamuziki chipukizi wa muziki wa bongo fleva, Rajabu Kunguge ‘Saji scanner’ amewaomba wasanii wakongwe kuacaha dharau na kudai fedha nyingi pindi wanapoombwa kushirikishwa na wasanii wachanga.

 


Amesemao tayari wameshakuwa na majina, wamekuwa wakiwatoza fedha nyingi ilikuwashirikisha,  lakini akishapata jina wanakuwa rahisi wao kuomba, 

ila kwa sasa ameshakamilisha albamu yake yenye nyimbo nane, ikiwemo Sauti ya Upole,Thamani ya pendo, Kupenda Majuto, Subira.

 

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents