Tupo Nawe

Simba yafungwa 3 -1 na timu ya jeshi la Oman

Timu ya soka ya Tanzania bara ya Simba, imetandikwa mabao 3-1 katika mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya jeshi la Oman kataka mechi ya kirafiki iliochezwa Ijumaa jioni kwenye uwanja wa Qaboos complex jijini Muscat.

Goli la kufutia machozi la Simba lilifungwa katika kiipindi cha pili na Haruna Moshi.

Wakishangilia bao la Simba

RAGE

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW