Habari

Sinema ya Kanumba na Ramsey kuoneshwa FOFA nchini Ghana


Filamu ya Steven Kanumba ya Devil Kingdom itaoneshwa katika Festival of Films Africa ‘FOFA’ itakayofanyika weekend hii jijini Accra, Ghana. FOFA zitashuhudiwa na directors. producers na mastaa wa filamu kutoka nchi mbalimbali za ndani na nje ya Afrika.

Kushirikishwa kwa Kanumba katika Festival hiyo kunazidi kuthibitisha kuwa uwanja wa filamu nchini unazidi kukua, huku nyota yake kama Kanumba inazidi kutia fora barani Afrika.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents