Burudani

Sitegemei muziki katika maisha yangu – Z Anto (+Video)

Msanii wa muziki aliyekuwa chini ya uongozi wa Tip Top Connection, Z Anto ameeleza kuwa mafanikio aliyonayo kwa sasa hayatokani na kazi ya muziki.

Akiongea na Bongo5 wakati wa show ya Hweshima ya Bongo Flava, iliyoandaliwa na EATV, msanii huyo amesema, “Sikuwa nategemea sana muziki katika maisha yangu. Hizi ni biashara za familia yangu ndio maana. Hata hivyo sio kiki kuwa hizo fremu ni zangu.”

Pia Z Antony amesema kuwa anatarajia kuja na wimbo wake mpya ambao katika video tutegemee kumuona mwane mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu akiwa ndani yake.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents