Burudani

Sofia Vergara, Kaley Cuoco, Priyanka Chopra waongoza orodha ya Forbes

Sofia Vergara amekuwa staa wa filamu ambaye amelipwa fedha nyingi zaidi kuanzia Juni mwaka jana mpaka kufikia mwezi Juni mwaka huu.

Kwa mujibu wa jarida la Forbes limesema, Sofia ameingiza kiasi cha dola milioni 41.5 milioni ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 91 kwa fedha za kitanzania. Huu ni mwaka wa sita mfululizo muigizaji huyo anaongoza katika orodha hiyo.

Fedha hiz zinatokana na malipo ya uigizaji, dili za matangazo, biashara binafsi na mambo mengine. Naye mrembo Priyanka Chopra kutoka nchini India anashika nafasi ya nane katika orodha hiyo akiwa ameingiza kiasi ha dola milioni 10 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 22 kwa fedha za kitanzania. Hawa ndio waigizaji 10 walioongoza kulipwa zaidi mwaka huu.

1. Sofia Vergara – $41.5 million
2. Kaley Cuoco – $26 million
3. (tie) Ellen Pompeo/Mindy Kaling – $13 million
5. Mariska Hargitay – $12.5 million
6. Julie Bowen – $12 million
7. Kerry Washington – $11 million
8. Priyanka Chopra – $10 million
9. Robin Wright – $9 million
10. Pauley Perrette – $8.5 million

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents